Skip to main content

ACCESS – Kutoa fursa ya upatikanaji wa Elimu ya Msingi kwa watoto walio katika mazingira magumu

Downloads

Ripoti hii inaangalia matokeo ya Utoaji wa Elimu inayofaa kwenye vituo maalum kwa kufuata mfumo wa kawaida wa Shule na kwa gharama nafuu.